Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 118:21:30
- More information
Informações:
Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 27 Septemba 2022
27/09/2022 Duration: 18minAsilimia 95 ya familia zenye watoto nchini Australia, kufaidi kupitia mageuzi ya serikali ya shirikisho kwa gharama ya huduma ya malezi ya watoto.
-
Taarifa ya Habari 25 Septemba 2022
25/09/2022 Duration: 18minUpinzani wa shirikisho umekataa kusema kama utaunga mkono, kuengeza muda wa makato ya kodi ya petroli, ambayo inatarajiwa kuisha usiku wa Jumatano 28 Septemba 2022.
-
Serikali yafanya maandalizi kwa mageuzi ya tabia ndani ya bunge la taifa
25/09/2022 Duration: 08minWakati kukiwa matukio yanayo zunguka mazishi ya malkia pamoja na siku ya taifa ya maombolezi, mjini Canberra kume kuwa shughuli za kimya kimya wiki hii katika tathmini ya Jenkins.
-
Milton: "Lengo lakundi letu niku kutanisha naku unganisha wanaume"
22/09/2022 Duration: 12minWanaume kote duniani mara nyingi huwa wana lalamikia uhaba wa huduma, namashirika yanayo toa huduma zinazo walenga.
-
Nini hutokea mtoto wako anapofikisha miaka 18 nchini Australia?
22/09/2022 Duration: 11minJe! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?
-
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2022
20/09/2022 Duration: 18minBajeti ya mwisho wa mwaka wa biashara wa 2021/22, yazua mvutano kati ya serikali na upinzani wa shirikisho kila pande ikidai ipewe sifa kwa ubora wayo.
-
Taarifa ya Habari 18 Septemba 2022
18/09/2022 Duration: 17minKaimu waziri mkuu Richard Marles atetea jibu rasmi la serikali ya Australia, kwa kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.
-
What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia hiyo haitambuliwi?
16/09/2022 Duration: 14minThe Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the British settlement of Australia. Even though Australia honours its involvement in wars fought overseas, it is yet to acknowledge the struggle that made it the country it is today. - The Frontier Wars ni neno ambalo hutumiwa mara nyingi kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati yawakoloni na jamii yawa Australia wa kwanza, wakati Wangereza walipo wasili kujenga makaazi yao Australia. Hata kama Australia huenzi uhusika wake katika vita ilivyoshiriki ng'ambo, bado haija tambua mapambano yaliyo ifanya iwe ilivyo leo.
-
Leyla: "Balozi za Kenya zinastahili jali maslahi yawakenya wanao fanya kazi nje ya nchi"
15/09/2022 Duration: 10minIdadi yawakenya wanao safiri kwenda kuanza ajira, katika nchi za kigeni inaongezeka kila siku.
-
SBS Swahili Mubashara 13 Septemba 2022
15/09/2022 Duration: 54minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Gharama kubwa yatarajiwa kwa likizo ya ghafla ya umma
14/09/2022 Duration: 07minLikizo ya umma isiyotarajiwa imewaacha mashakani wazazi wengi, shule, wafanyakazi wa sekta mhimu pamoja na biashara.
-
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2022
13/09/2022 Duration: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa ataunga mkono, pendekezo kutoka serikali zamajimbo na wilaya kuongeza muda wa malipo ya likizo ya dharura ya janga zaidi ya mwezi huu.
-
Jukumu la Ufalme wa Uingereza ni nini nchini Australia?
13/09/2022 Duration: 09minAustralia inadumisha uhusiano rasmi nawa hisia na ufalme wa Uingereza, kama urithi wa ukoloni wa Uingereza.
-
Je! Ni sahihi kwa Tanzania kuwa na siku 5 zamaombolezi ya Malkia Elizabeth II?
12/09/2022 Duration: 22minTangazo la serikali ya Tanzania kuwa na siku 5 zakuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II, limepokewa kwa hisia mseto ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 11 Septemba 2022
11/09/2022 Duration: 16minMfalme Charles III ametangazwa rasmi kama kiongozi mpya ya Australia, katika sherehe maalum ndani ya Bunge la Taifa mjini Canberra.
-
George: "Tunaomba Rais Ruto alete pamoja waliompigia kura na ambao hawakumpigia kura"
08/09/2022 Duration: 14minKenya imejipata kwenye njia panda, nusu ya nchi ikijawa furaha na nusu ya nchi ikijawa majonzi kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Upeo ya taifa hilo.
-
SBS Swahili Mubashara 6 Septemba 2022
07/09/2022 Duration: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Bunge la anza vikao kwa kukabili maswala ya ustawi
06/09/2022 Duration: 07minSerikali ya shirikisho iko chini ya shinikizo kuongeza kiwango cha malipo ya jobseeker, juu ya kiwango kilichopo gharama ya maisha nchini Australia inapo endelea kuongezeka.
-
Taarifa ya Habari 6 Septemba 2022
06/09/2022 Duration: 18minSerikali ya shirikisho yashinikizwa iongeze muda wa makato ya kodi ya mawese, ambayo imeratibiwa kuisha mwisho wa mwezi huu.
-
Raila na Ruto kujua hatma ya ndoto zao zakuwa Rais
05/09/2022 Duration: 06minVinara wa mirengo yakisiasa nchini Kenya wanasubiri kwa hamu, kujua maamuzi ya mahakama ya upeo kwa maombi iliyo pokea kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu.