Sbs Swahili - Sbs Swahili

Informações:

Synopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodes

 • Its disappointing but we still believe in our team - Shujaa yawa sikitisha mashabiki mjini Sydney, Australia

  It's disappointing but we still believe in our team - Shujaa yawa sikitisha mashabiki mjini Sydney, Australia

  03/02/2019 Duration: 11min

  It was a tough weekend for Kenya rugby 7s fans, who descended on Sydney for the annual 7s rugby tournament. SBS Swahili caught up with some of them, who shared their thoughts on their national team's performance. - Mashabiki wa timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji saba, wikendi hii waliona tabu sana, walipo jumuika katika uwanja wa michuano ya raga ya wachezaji saba kila upande.

 • A new dawn for DR Congo - Mwanzo mpya wa DR Congo

  A new dawn for DR Congo - Mwanzo mpya wa DR Congo

  01/02/2019 Duration: 01h34min

  DR Congo experienced it's first peaceful hand over of power in the Central African nations history since Independence. Members of the NSW DR Congo community shared their thoughts with SBS Swahili about the historic event. - DR Congo ilishuhudia hafla ya kukabidhiana mamlaka kwa amani kwa mara ya kwanza, hatua ambayo ilikuwa yaki historia katika taifa hilo la Afrika ya Kati tangu taifa hilo lipate uhuru. Wanachama wa jamii ya watu kutoka DR Congo, wanao ishi NSW walichangia maoni yao kuhusu tukio hilo laki historia na SBS Swahili.

 • More than a thousand Australians have been recognised in the Australia Day Honours - Zaidi yawa Australia elfu moja, watambuliwa katika tuzo za siku kuu ya Australia

  More than a thousand Australians have been recognised in the Australia Day Honours - Zaidi yawa Australia elfu moja, watambuliwa katika tuzo za siku kuu ya Australia

  26/01/2019 Duration: 05min

  More than a thousand Australians have been recognised for their outstanding contributions to their communities. - Zaidi ya idadi yawa Australia takriban elfu moja, wame tambuliwa kwa michango yao mizuri katika jamii zao.

 • Australia may be nearly 120 years old-but Australian citizenship is a newer concept - Australia inakaribia kutimiza miaka 120, ila uraia wa Australia ni dhana mpya

  Australia may be nearly 120 years old-but Australian citizenship is a newer concept - Australia inakaribia kutimiza miaka 120, ila uraia wa Australia ni dhana mpya

  23/01/2019 Duration: 08min

  Australia has been an independent nation for more than 118 years, but citizenship in this country is a much newer concept. - Australia imekuwa nchi huru kwa zaidi ya miaka 118, ila uraia nchini humu ni dhana mpya sana.

 • New report shows women more likely to experience financial stress than men - Ripoti mpya ya baini wanawake wanaweza kabiliwa kwa matatizo yaki fedha kuliko wanaume

  New report shows women more likely to experience financial stress than men - Ripoti mpya ya baini wanawake wanaweza kabiliwa kwa matatizo yaki fedha kuliko wanaume

  22/01/2019 Duration: 07min

  A survey of 2,000 Australian employees has revealed women are more likely to experience financial stress than men with single parents particularly affected. - Utafiti wa waaustralia elfu mbili ambao ni waajiriwa, ume baini kuna uwezekano mkubwa wanawake hukabiliana na matatizo yakifedha kuliko wanaume, na wazazi wasio na wachumba huathiriwa zaidi.

 • Fight racism with education - Tumia elimu kukabiliana na ubaguzi wa rangi

  Fight racism with education - Tumia elimu kukabiliana na ubaguzi wa rangi

  22/01/2019 Duration: 35min

  Melbourne is a city which has often been hailed for being the hub and example of successful multiculturalism in the world. - Mji wa Melbourne, kwa muda mrefu umejulikana, kwa kuwa mfano wa mafaniko ya jamii zatamaduni tofauti kuishi kwa umoja duniani.

 • Deadly attack on Nairobi luxury hotel and office precinct - Hoteli lakifahari nama ofisi yashambuliwa mjini Nairobi, Kenya

  Deadly attack on Nairobi luxury hotel and office precinct - Hoteli lakifahari nama ofisi yashambuliwa mjini Nairobi, Kenya

  16/01/2019 Duration: 06min

  Gunmen have blasted their way into a luxury hotel and office complex in Nairobi, Kenya. - Magaidi wame vamia hoteli yaki fahari, pamoja na jengo lenye maofisi mjini Nairobi, Kenya.

 • Is the DRC headed for a vote recount? - Je kura za urais wa DR Congo, zaelekea kuhesabiwa upya?

  Is the DRC headed for a vote recount? - Je kura za urais wa DR Congo, zaelekea kuhesabiwa upya?

  15/01/2019 Duration: 54min

  As one opposition candidate awaits to be sworn as the new president of DR Congo, the other candidate has lodged a case with the constitutional court demanding it orders a recount of the presidential election votes in which he was denied his rightful victory.    - Mgombea mmoja wa upinzani anasubiri kuapishwa kuwa rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), mgombea mwenza wa upinzani amewasilisha kesi katika mahakama yaki katiba, akitaka kura za urais ambazo zilimnyima fursa yakuwa rais zihesabiwe upya.

 • Prolonged heatwave forecast for South Australia - Kusini Australia, kukabiliwa kwa wimbi la joto kali

  Prolonged heatwave forecast for South Australia - Kusini Australia, kukabiliwa kwa wimbi la joto kali

  14/01/2019 Duration: 08min

  As South Australia prepares to swelter through another heatwave ((from Jan 11)), authorities are warning people to stay alert. - Wakati jimbo la kusini Australia lina jiandaa kukabiliana na wimbo lingine la joto, kuanzia tarehe 11 januari, mamlaka jimboni humo wame shauri watu wawe makini.

 • KASA: Building bridges between Australia and Kenya - KASA: Yakuza uhusiano kati ya Australia na Kenya

  KASA: Building bridges between Australia and Kenya - KASA: Yakuza uhusiano kati ya Australia na Kenya

  11/01/2019 Duration: 19min

  As the name suggests the Kenyan Association of South Australia (KASA), represents and provides a range of support services for Kenyans living in South Australia. KASA's chairman Mr John Kamau Ngatia, told SBS Swahili about some of the organisations upcoming projects. - Shirika la Kenyan Association of South Australia (KASA), huwakilisha nakutoa aina tofauti ya huduma kwa wakenya wanao ishi Kusini Australia.

 • Doubts expressed as opposition leader wins DRC presidential vote - Mashaka yazingira tangazo la rais mteule wa DRC

  Doubts expressed as opposition leader wins DRC presidential vote - Mashaka yazingira tangazo la rais mteule wa DRC

  11/01/2019 Duration: 06min

  Opposition leader Felix Tshisekedi has been named the winner of the Democratic Republic of Congo's presidential election, in a result that has surprised many and led others to question whether the voting was rigged. - Kiongozi wa upinzani Felix Tshisekedi ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo, katika matokeo ambayo yame washangaza watu wengi, naku zua gumzo miongoni mwa baadhi ya watu ambao wame hoji uhalali wa kura uchaguzi huo.

 • Government cancels hundreds of visas for convicted criminals - Serikali ya futa viza zamamia yawahalifu walio hukumiwa

  Government cancels hundreds of visas for convicted criminals - Serikali ya futa viza zamamia yawahalifu walio hukumiwa

  08/01/2019 Duration: 07min

  More than 800 criminals were stripped of Australian visas in 2018, with just over 12 per cent involved in child sex offences or child exploitation. - Viza za idadi ya wahalifu zaidi ya takriban mia nane zilifutwa nchini Australia mwaka jana wa 2018, asilimia 12 kati ya wenye viza hizo wakiwa wamehusika katika unyanyasaji wakingono dhidi ya watoto au unyanyasaji wa watoto.

 • New year brings new laws - Mwaka mpya waja na sheria mpya

  New year brings new laws - Mwaka mpya waja na sheria mpya

  06/01/2019 Duration: 11min

  A new year means new rules and regulations. - Mwaka mpya huja na sheria na kanuni mpya.

 • Settlement Guide: What is holiday care and how to find free activities for children? - Je huduma ya likizo ni nini na, watoto wako wanawezaje shiriki katika michezo bila malipo?

  Settlement Guide: What is holiday care and how to find free activities for children? - Je huduma ya likizo ni nini na, watoto wako wanawezaje shiriki katika michezo bila malipo?

  02/01/2019 Duration: 10min

  School holidays are a challenge for many parents. - Likizo ya shule huzua changamoto kwa wazazi wengi.

 • 2019 ushered in with prayers for safety and blessings - Waumini waombea ulinzi na baraka katika mwaka wa 2019

  2019 ushered in with prayers for safety and blessings - Waumini waombea ulinzi na baraka katika mwaka wa 2019

  01/01/2019 Duration: 19min

  SBS Swahili joined worshipers at a new years eve service in Auburn, NSW. Here's what they told us as the clock struck midnight. - SBS Swahili ilijumuika na waumini katika ibada yakufunga mwaka wa 2018, katika kitongoji cha Auburn, NSW. Haya ndiyo waliyo tueleza usiku wa manane ulipofika.

 • KISWA marks one year anniversary of serving the community - KISWA ya adhimisha mwaka mmoja wakuhudumia jamii

  KISWA marks one year anniversary of serving the community - KISWA ya adhimisha mwaka mmoja wakuhudumia jamii

  30/12/2018 Duration: 25min

  The Kenyans in Sydney Welfare Association (KISWA) which is based in NSW, recently marked it's one year anniversary of service to the community. Members of the KISWA committee told SBS Swahili about some of the projects they've run thus far and some of the upcoming projects for 2019. - Shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association (KISWA) ambalo hu hudumu mkoani NSW, hivi karibuni lili adhimisha mwaka mmoja waku hudumia jamii.

 • African families bid 2018 farewell - Familia zawa Afrika za aga mwaka wa 2018

  African families bid 2018 farewell - Familia zawa Afrika za aga mwaka wa 2018

  30/12/2018 Duration: 09min

  2018 brought a mixture of experiences for various migrant communities in Australia, SBS Swahili spoke with the chairman of the African Families christmas dinner, about some of the projects and events which his organisation organised this year. - Mwaka wa 2018 ulitoa uzoefu mseto kwa baadhi ya jamii zawa Afrika wanao ishi nchini Australia, SBS Swahili ilizungumza na mwenyekiti wa shirika la African Families christmas dinner night, kuhusu baadhi ya miradi nama tukio ambayo, shirika lake ili andaa mwaka huu.

 • Hard sell for budget 2018 already underway - Kasi yaku uza bajeti ya 2018 yaongezwa

  Hard sell for budget 2018 already underway - Kasi yaku uza bajeti ya 2018 yaongezwa

  08/05/2018 Duration: 07min

  Prime minister Malcolm Turnbull says families will get help with the cost of living, essential services will be guaranteed and road and rail projects will be rolled out in the budget. - Waziri mkuu Malcolm Turnbull amesema familia zita pewa msaada kwa gharama ya maisha, uhakika kwa huduma muhimu utatolewa na miradi ya barabara na reli ita tolewa katika bajeti hiyo.

page 20 from 20