Synopsis
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.
Episodes
-
Somo 06 – Baada ya "mwungano"
17/03/2009 Duration: 15minUjerumani iliyoungana – watu na maafa yao... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (III): Vitenzi vya maridhio
-
Somo 05 – Shairi hilo lilipigwa marufuku
17/03/2009 Duration: 14minMaafa ya mpea... Muhtasari wa sarufi: Kauli ya kutendwa (passive)
-
Somo 04 – Herr von Ribbeck yupo Ribbeck
17/03/2009 Duration: 14minHadithi kuhusu mapea... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (II): Vitenzi vielezi vya wakati
-
Somo 03 – Brandenburg: Maji, mchanga na viazi
17/03/2009 Duration: 15minMkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
-
Somo 02 – Ungependa kufanya nini?
17/03/2009 Duration: 14minMalengo mapya – wote wanataka kuondoka Aachen... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (I). Viwakilishi vya swali.
-
Somo 01 – Hiyo ni fikara nzuri sana!
17/03/2009 Duration: 13minNyuma ya mapazia – Andreas katika studio ya matangazo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya sintaksi