Habari Rfi-ki

Botswana : Chama tawala chasalimu amri

Informações:

Synopsis

Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo  Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana. Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani yanaweza jifunza nini kutokana na uchaguzi wa Botswana?Ndilo swali Tumekuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako.