Sbs Swahili - Sbs Swahili

Informações:

Synopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodes

 • Taarifa ya habari 7 Februari 2021

  Taarifa ya habari 7 Februari 2021

  07/02/2021 Duration: 12min

  Wa Australia watakao pokea chanjo ya coronavirus, kupokea cheti cha uthibitisho chini ya mpango maalum wa serikali.

 • Mchungaji David aweka wazi mipango ya mwaka, na huduma kwa waumini

  Mchungaji David aweka wazi mipango ya mwaka, na huduma kwa waumini

  05/02/2021 Duration: 07min

  Kila shirika na viongozi huanda mipango na vipaumbele vya mashirika na kazi zao, mwaka mpya unapo anza.

 • Rosemary Kariuki afunguka kuhusu changamoto za uanaharakati

  Rosemary Kariuki afunguka kuhusu changamoto za uanaharakati

  04/02/2021 Duration: 08min

  Rosemary Kariuki ni mwanaharakati maarufu jimboni New South Wales, na watu wengi katika jamii wamefaidi kupitia juhudi zake.

 • Waziri Gwajima:Tanzania haina mpango wakupokea chanjo ya COVID-19

  Waziri Gwajima:"Tanzania haina mpango wakupokea chanjo ya COVID-19"

  02/02/2021 Duration: 06min

  Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema Jumatatu haina mpango wa kupokea chanjo ya COVID-19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine.

 • Taarifa ya habari 2 Januari 2021

  Taarifa ya habari 2 Januari 2021

  02/02/2021 Duration: 13min

  Moto mubaya wa misitu katika maeneo ya Perth Hills magharibi Australia, waongezeka kwa ukubwa wa hekta elfu saba na, baadhi ya wakazi wana elezwa wamechelewa kuondoka katika maeneo husika.

 • Taarifa ya habari 31 Januari 2021

  Taarifa ya habari 31 Januari 2021

  31/01/2021 Duration: 12min

  Australia kutowekwa kwenye orodha ya nchi, ambazo zitawekewa masharti ya udhibiti wa mauzo ya chanjo ya COVID-19.

 • NSW yaregeza vizuizi kampeni mpya ya chanjo ikizinduliwa

  NSW yaregeza vizuizi kampeni mpya ya chanjo ikizinduliwa

  29/01/2021 Duration: 07min

  Kuanzia Ijumaa tarehe 29 Januari, vizuizi vya COVID-19 viliregezwa katika jimbo la New South Wales, baada ya milipuko kadhaa ya virusi hivyo kudhibitiwa.

 • Je COVID-19 imeathiri aje biashara za wajasiriamali?

  Je COVID-19 imeathiri aje biashara za wajasiriamali?

  29/01/2021 Duration: 07min

  Wajasiriamali wengi hukabiliana na changamoto nyingi, kuanza naku hakikisha uwekezaji wao unazaa matunda mema.

 • Happiness: Ninafuraha tele kuwa raia mpya

  Happiness: "Ninafuraha tele kuwa raia mpya"

  26/01/2021 Duration: 07min

  Sherehe nyingi muhimu huadhimishwa katika siku kuu ya Australia tarehe 26 Januari kila mwaka. 

 • Taarifa ya habari 26 Januari 2021

  Taarifa ya habari 26 Januari 2021

  26/01/2021 Duration: 13min

  Mtetezi wa wahamiaji miongoni mwa washindi wa tuzo zawa Australia wa mwaka na, zaidi ya idadi yawahamiaji elfu 12, wapokea uraia wa Australia katika sherehe kote nchini.

 • Wanawake wapewa heshima katika tuzo zawa Australia wa mwaka

  Wanawake wapewa heshima katika tuzo zawa Australia wa mwaka

  26/01/2021 Duration: 10min

  Washindi wote wa tuzo ya 2021 yamu Australia wa mwaka, ni wanawake kutoka tamaduni mbali mbali.

 • Je panastahili kuwa na umri wakuanza shule kitaifa?

  Je panastahili kuwa na umri wakuanza shule kitaifa?

  25/01/2021 Duration: 09min

  Mwaka mpya wa shule unapo anza, mjadala umeibuka tena kuhusu miaka yakuanza shule kitaifa.

 • Taarifa ya habari 24 Januari 2021

  Taarifa ya habari 24 Januari 2021

  24/01/2021 Duration: 10min

  Licha ya matatizo ya  maswala ya usambazaji wa Chanjo duniani, mweka hazina nchini asisitiza Australia haitoathirika kupata chanjo.

 • Mwenyekiti Diaspora apasua jipu

  Mwenyekiti Diaspora apasua jipu

  24/01/2021 Duration: 30min

  Baada ya sintofahamu kwenye Baraza la Diaspora Watanzania Duniani, hatimaye Mwenyekiti wa mpito aweka bayana kilichotokea na mustakbali wa nini yajayo katika mahojiano maalumu na SBS.

 • Taarifa ya habari 19 Januari 2021

  Taarifa ya habari 19 Januari 2021

  24/01/2021 Duration: 15min

  NSW yatangaza kutokuwa na virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo

 • Rais Museveni achaguliwa tena Uganda, ila upinzani wadai uchaguzi ulijawa wizi

  Rais Museveni achaguliwa tena Uganda, ila upinzani wadai uchaguzi ulijawa wizi

  18/01/2021 Duration: 06min

  Kiongozi wa muda mrefu wa Uganda, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa nchi hiyo.

 • Taarifa ya habari 17 Januari 2021

  Taarifa ya habari 17 Januari 2021

  17/01/2021 Duration: 13min

  Maafisa jimboni New South Wales wame toa onyo kadhaa, kuhusu hatari za usambaaji wa coronavirus ndani ya nyumba.

 • Je Bobi Wine atafanikiwa kumbandua Museveni madarakani?

  Je Bobi Wine atafanikiwa kumbandua Museveni madarakani?

  14/01/2021 Duration: 16min

  Yoweri Kaguta Museveni ameongoza Uganda kwa zaidi ya miaka 33, ila uongozi wake umekuwa chini ya shinikizo kubwa katika miaka ya hivi karibuni.

 • John afunguka kuhusu aliyoshuhudia ndani ya karantini ya COVID-19 hotelini

  John afunguka kuhusu aliyoshuhudia ndani ya karantini ya COVID-19 hotelini

  12/01/2021 Duration: 09min

  Siku hizi kila msafiri anayewasili nchini, lazima aingie katika karantini ya COVID-19 kwa muda wa wiki mbili.

 • Taarifa ya habari 12 Januari 2021

  Taarifa ya habari 12 Januari 2021

  12/01/2021 Duration: 15min

  Kaimu waziri mkuu wa Australia Michael McCormack ametupilia mbali ukosoaji kutoka makundi ya watetezi wa haki zabinadam namakundi ya jamii, kwaku rudia madai kuhusu vuguvugu la wanao tetea usawa wa rangi ambao wame elezewa kuwa yana "khera sana".

page 1 from 20