Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 74:04:00
- More information
Informações:
Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Je! unajua jinsi yakutambua visa vya unyanyasaji wa nyumbani?
13/04/2021 Duration: 09minTakwimu zinaendelea kuonesha kuwa wanawake huathiriwa zaidi kwa maswala ya unyanyasaji wa nyumbani, takwimu hizo zimeonesha pia kuwa, wanaume nao huathiriwa kwa unyanyasaji wa nyumbani.
-
Taarifa ya Habari 13 Aprili 2021
13/04/2021 Duration: 14minMdhibiti wamadawa nchini Australia, ametambua kesi ya pili nadra yakuganda kwa damu, ambayo ime ungwa na chanjo ya AstraZeneca.
-
Wa Australia wakaribisha tena tamaduni za Ramadan, zilizo simamishwa na vizuizi mwakajana
13/04/2021 Duration: 07minZaidi ya nusu ya milioni yawa Islamu wa Australia, wana adhimisha siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadan ambao ume anza hii leo jumanne 13 Aprili 2021.
-
Serikali ya toa jibu kwa ripoti muhimu kuhusu heshima kazini
12/04/2021 Duration: 08minSerikali ya shirikisho imetoa jibu kwa ripoti ya tume ya kamishna wa ubaguzi wa jinsia, kuhusu heshima kazini baada ya zaidi ya miaka mbili. Jibu hilo limepokewa kwa hisia mseto.
-
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2021
11/04/2021 Duration: 13minWakazi katika jimbo la magharibi Australia wanahama nakupata makazi, wakati kimbunga chakitropiki Seroja kina karibia pwani ya kati ya magharibi jimboni humo.
-
Eve: "Tuwalinde watoto dhidi ya unyanyasaji wa nyumbani"
10/04/2021 Duration: 07minShirika la Great Lakes Agency for Peace and Development International (GLAPD), lilishirikiana na chuo cha Western Sydney kufanya utafiti kwa swala la unyanyasaji wa nyumbani.
-
Je! Watanzania wana deni la JPM?
09/04/2021 Duration: 21minWatanzania wanao ishi nchini Australia wali ungana na watanzania kote duniani, katika ibada maalum yakutoa heshima zao kwa hayati Dkt John Pombe Magufuli.
-
Viongozi wa jamii watathmini mwaka mmoja baada ya mwanzo wa COVID-19
07/04/2021 Duration: 16minVizuizi vya Coronavirus vinaendelea kuondolewa kote nchini Australia, hatua ambayo imekaribishwa na jamii zote pamoja na viongozi wao.
-
Taarifa ya habari 6 Aprili 2021
06/04/2021 Duration: 13minWaziri Mkuu Scott Morrison amesema tangazo la New Zealand kuhusu usafiri wa watu kati ya Australia na New Zealand bila mahitaji ya karantini, ni hatua muhimu kwa nchi zote mbili.
-
Askofu Peter:"Hange kombolewa mwanadamu bure"
05/04/2021 Duration: 12minShirika la Sing Hosanna International Ministries, lili andaa mkutano maalum kuadhimisha Pasaka mjini Fairfield, New South Wales, Australia.
-
Taarifa ya habari 4 Aprili 2021
04/04/2021 Duration: 15minMadaktari nchini Australia wanawahamasisha watu, waendelea kuwa watulivu, nawapokee chanjo wakati mamlaka ya afya, wanapendekeza pasiwe mageuzi kwa utoaji wa chanjo nchini Australia.
-
Wakristo kote nchini Australia, wajumuika katika ibada za Pasaka
04/04/2021 Duration: 05minKwa wa Australia wengi, Ijumaa ya pasaka ni siku ya familia na sherehe, kuchangia vyakula vya baharini na kuenda fukweni. Na kwa wengine ambao ni wakristo, ni siku yaku abudu.
-
Dr Tungaraza:"Jinsia ya Rais Samia haijawahi na haitakuwa kikwazo kufanya kazi zake"
02/04/2021 Duration: 20minMhe Samia Suluhu Hassan alitengeza historia baada yakuapishwa, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
UNHCR yapewa siku 14 kufunga kambi za Dadaab na Kakuma nchini Kenya
30/03/2021 Duration: 08minSerikali ya Kenya imetoa muda wa siku 14 kwa shirika la umoja wa mataifa kuhusu wakimbizi UNHCR, kuzifunga kambi za wakimbizi za Daadab na Kakuma kufuatia vitisho vya kiusalama vinavyosababishwa na baadhi ya wakimbizi.
-
Taarifa ya habari 30 Machi 2021
30/03/2021 Duration: 13minJimbo la Queensland linakabiliana na milipuko mbili tofauti ya COVID-19, inayo ungwa na wafanyakazi wa afya.
-
Mwito mpya wa ibuka kuhusu mageuzi kwa majengo katika maeneo ya mafuriko
29/03/2021 Duration: 07minWataalam wakubuni miji wanasema maisha yanahatarishwa, kwa sababu ya ukosefu wamipango katika maeneo yamafuriko, na wanaomba mageuzi kwa majengo ambayo yako katika nyanda za mafuriko.
-
Taarifa ya habari 28 Machi 2021
28/03/2021 Duration: 12minTakriban idadi yawa Australia lakimoja elfu hamsini hivi karibuni wanaweza poteza ajira, wakati ruzuku yamapato yaserikali ya JobKeeper yameisa hii leo jumapili 28 Machi 2021.
-
Hadija "Afrika si bara la giza, tuna uwezo na rasilimali zakujiendeleza"
25/03/2021 Duration: 11minBara la Afrika kwa muda mrefu limezingatiwa kama bara la giza, hiyo ni licha ya bara hilo kujawa rasilimali na madini ya kila aina.
-
Jinsi ya kurudi kwako kazini kwenye mazingira ya COVID-salama
23/03/2021 Duration: 08minUtafiti mpya unaonyesha kwamba Waaustralia wawili kati ya watano wana wasiwasi juu ya usafi mahali pao pa kazi, wakati zaidi ya robo wamekuwa na wasiwasi juu ya vijidudu tangu kuanza kwa janga hili.
-
Taarifa ya Habari 23 Machi 2021
23/03/2021 Duration: 13minMvua na mafuriko ya sababisha shule kufungwa Kusini Mashariki Queensland, na onyo zatolewa katik amaeneo ya Magharibi Sydney, baada ya ongezeko ya mvua nyingi na mafuriko.