Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari

Informações:

Synopsis

Serikali ya shirikisho imesema nyongeza ya bei ya umeme haitakuwa mbaya kama ilivyo hofiwa kabla. Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers amesema kuingilia kati kwa serikali katika soko la nishati kunatoa afueni kwa nyumba nyingi.