Sbs Swahili - Sbs Swahili

George: "Tunaomba Rais Ruto alete pamoja waliompigia kura na ambao hawakumpigia kura"

Informações:

Synopsis

Kenya imejipata kwenye njia panda, nusu ya nchi ikijawa furaha na nusu ya nchi ikijawa majonzi kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Upeo ya taifa hilo.