Sbs Swahili - Sbs Swahili

Bunge la anza vikao kwa kukabili maswala ya ustawi

Informações:

Synopsis

Serikali ya shirikisho iko chini ya shinikizo kuongeza kiwango cha malipo ya jobseeker, juu ya kiwango kilichopo gharama ya maisha nchini Australia inapo endelea kuongezeka.