Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 25 Septemba 2022

Informações:

Synopsis

Upinzani wa shirikisho umekataa kusema kama utaunga mkono, kuengeza muda wa makato ya kodi ya petroli, ambayo inatarajiwa kuisha usiku wa Jumatano 28 Septemba 2022.