Sbs Swahili - Sbs Swahili

Serikali yafanya maandalizi kwa mageuzi ya tabia ndani ya bunge la taifa

Informações:

Synopsis

Wakati kukiwa matukio yanayo zunguka mazishi ya malkia pamoja na siku ya taifa ya maombolezi, mjini Canberra kume kuwa shughuli za kimya kimya wiki hii katika tathmini ya Jenkins.