Sbs Swahili - Sbs Swahili

Gharama kubwa yatarajiwa kwa likizo ya ghafla ya umma

Informações:

Synopsis

Likizo ya umma isiyotarajiwa imewaacha mashakani wazazi wengi, shule, wafanyakazi wa sekta mhimu pamoja na biashara.