Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 13 Septemba 2022

Informações:

Synopsis

Waziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa ataunga mkono, pendekezo kutoka serikali zamajimbo na wilaya kuongeza muda wa malipo ya likizo ya dharura ya janga zaidi ya mwezi huu.