Sbs Swahili - Sbs Swahili

Je! Ni sahihi kwa Tanzania kuwa na siku 5 zamaombolezi ya Malkia Elizabeth II?

Informações:

Synopsis

Tangazo la serikali ya Tanzania kuwa na siku 5 zakuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II, limepokewa kwa hisia mseto ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki.