Sbs Swahili - Sbs Swahili

Haki zako za utunzaji wa wazee nchini Australia, na jinsi yakufanya malalamishi

Informações:

Synopsis

Nchini Australia, kuna haki 14 zinazo linda kila mtu anae pokea huduma yawazee inayo wekezwa na serikali, iwapo ni nyumbani au katika kifaa cha makazi.