Sbs Swahili - Sbs Swahili

Informações:

Synopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodes

 • Halima Uongozi wa Magufuli, niwakipekee si wakulinganishwa

  Halima "Uongozi wa Magufuli, niwakipekee si wakulinganishwa"

  22/03/2021 Duration: 10min

  Watanzania wanao ishi Australia, wameungana na wenzao barani Afrika kuombeleza kifo cha aliyekuwa rais wa awamu ya tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

 • Louis:Magufuli alikuwa akiwahamasisha sana wajasiriamali

  Louis:"Magufuli alikuwa akiwahamasisha sana wajasiriamali"

  22/03/2021 Duration: 08min

  Hayati Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli wa Tanzania, alikuwa kipenzi cha watanzania wengi wa pato la chini.

 • Taarifa ya habari 21 Machi 2021

  Taarifa ya habari 21 Machi 2021

  21/03/2021 Duration: 13min

  Shirika la uokoaji la dharura jimboni NSW, lakabiliwa kwa simu zaidi ya elfu sita kutoa msaada katika mafuriko yakihostoria jimboni humo.

 • VAR yamkinga mwalimu wa Wanderers dhidi ya hasira yamashabiki

  VAR yamkinga mwalimu wa Wanderers dhidi ya hasira yamashabiki

  19/03/2021 Duration: 06min

  Mwalimu wa Western Sydney Wanderers FC, Carl Robinson amejipata chini ya shinikizo zito hivi karibuni, baada ya timu yake kuwa na matokeo mengi mabaya. 

 • Kuwa salama wakati wa uvuvi kwenye miamba

  Kuwa salama wakati wa uvuvi kwenye miamba

  16/03/2021 Duration: 09min

  Uvuvi wa miambani ni shughuli maarufu hapa Australia, na wavuvi zaidi ya milioni wanapanda miamba kuvua samaki wao kila mwaka. 

 • Taarifa ya habari 16 Machi 2021

  Taarifa ya habari 16 Machi 2021

  16/03/2021 Duration: 12min

  Serikali ya shirikisho yasema wa Australia wanaweza tarajia makato ya kodi, ya takriban bilioni 12, kati ya sasa na mwezi wa Septemba.

 • Je! Raia wana haki yakupewa taarifa kuhusu, hali ya afya ya viongozi wao?

  Je! Raia wana haki yakupewa taarifa kuhusu, hali ya afya ya viongozi wao?

  15/03/2021 Duration: 08min

  Viongozi kadhaa katika chama tawala nchini Tanzania, wakiongozwa na waziri mkuu wamekana madai yanayo endelea kusambaa kuwa, Rais Magufuli anapokea matibabu ya coronavirus nje ya nchi.

 • Taarifa ya habari 14 Machi 2021

  Taarifa ya habari 14 Machi 2021

  14/03/2021 Duration: 15min

  Chama cha Labor cha Magharibi Australia, kimeshinda kwa urahisi muhula mwingine kusalia serikalini, naku ondoa sehemu kubwa ya upinzani wa chama cha Liberal ndani ya bunge la jimbo hilo.

 • Mark McGowan aangamiza chama cha Liberal, katika uchaguzi Magharibi Australia

  Mark McGowan aangamiza chama cha Liberal, katika uchaguzi Magharibi Australia

  14/03/2021 Duration: 07min

  Chama cha Labor kimeshinda muhula wa pili serikalini, katika uchaguzi wa jimbo la Magharibi Australia uliofanyika wikendi hii.

 • Shinikizo kwa baadhi yamawaziri wa Morrison, yawa weka kwenye njia panda

  Shinikizo kwa baadhi yamawaziri wa Morrison, yawa weka kwenye njia panda

  11/03/2021 Duration: 11min

  Uongozi wa Waziri Mkuu Scott Morrison, unaendelea kuyumbishwa kwa kashfa zinazo wakabili baadhi yamawaziri wake muhimu.

 • Pascazie tunataka vunja mambo yakutengana, natuishi kwa misingi ya umoja

  Pascazie "tunataka vunja mambo yakutengana, natuishi kwa misingi ya umoja"

  09/03/2021 Duration: 21min

  Shirika la African Women Unity, huwakilisha wanawake kutoka kanda ya mashariki ya Afrika, wanao ishi mjini Sydney Australia.

 • Taarifa ya habari 9 Machi 2021

  Taarifa ya habari 9 Machi 2021

  09/03/2021 Duration: 14min

  Waziri Mkuu awaeleza wanao pokea malipo ya JobSeeker watapokea msaada wa ziada, licha ya mfumo huo kuratibiwa kusitishwa mwisho wa mwezi huu.

 • Rais Kenyatta Wahudumu wa afya kupokea chanjo ya COVID-19 kwanza

  Rais Kenyatta "Wahudumu wa afya kupokea chanjo ya COVID-19 kwanza"

  08/03/2021 Duration: 08min

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, ametupilia mbali uvumi kuwa, wanasiasa watapokea chanjo ya COVID-19 kabla ya wahudumu wa afya ambao wako katika mstari wa mbele ya huduma.

 • Taarifa ya habari 7 Machi 2021

  Taarifa ya habari 7 Machi 2021

  07/03/2021 Duration: 11min

  Waziri Mkuu wa zamani Gillard ahamasisha wa Australia, watafute taarifa sahihi kuhusu chanjo za COVID-19, na shinikizo yakujiuzulu, yamlazimisha waziri wa ulinzi kuongeza muda walikizo ya matibabu. 

 • Tathmini yatangazwa kwa tamaduni ya kazi katika bunge la taifa

  Tathmini yatangazwa kwa tamaduni ya kazi katika bunge la taifa

  07/03/2021 Duration: 07min

  Serikali ya taifa imetangaza tathmini kwa tamaduni ya kazi ndani ya bunge la taifa.

 • Mh Dkt Luc Mulimbalimba, afunguka kuhusu jaribio kwa maisha yake DRC

  Mh Dkt Luc Mulimbalimba, afunguka kuhusu jaribio kwa maisha yake DRC

  05/03/2021 Duration: 11min

  Siasa sawia na taaluma zingine huwa na changamoto mbali mbali, zinazo wakabili wafanyakazi pamoja na watu wanao shirikiana nao.  

 • Mabadiliko ya bahari au miti: Makala ya vidokezo vya kuhamia mikoani

  Mabadiliko ya bahari au miti: Makala ya vidokezo vya kuhamia mikoani

  02/03/2021 Duration: 10min

  Mabadiliko ya bahari au miti ni ndoto ya Waaustralia wastaafu wengi, ambao hutafuta maisha ya polepole na yenye utulivu katika jamii ndogo ya pembezoni mwa bahari au jamii ya eneo la bara.

 • Taarifa ya habari 2 Machi 2021

  Taarifa ya habari 2 Machi 2021

  02/03/2021 Duration: 14min

  Kashfa za ubakaji zaendelea kuindama serikali ya Morrison, licha yajuhudi za serikali kuelekeza mtazamo kwa chanjo za COVID-19.

 • Dozi za kwanza za chanjo ya coronavirus za AstraZeneca zawasili nchini

  Dozi za kwanza za chanjo ya coronavirus za AstraZeneca zawasili nchini

  02/03/2021 Duration: 09min

  Australia imerekodi siku nyingine bila kuwa na kesi ya maambukizi yoyote ya virusi ndani ya jamii.

 • Rais Magufuli aonya kuhusu baadhi ya barakoa zinazo uzwa

  Rais Magufuli aonya kuhusu baadhi ya barakoa zinazo uzwa

  01/03/2021 Duration: 08min

  Rais John Magufuli wa Tanzania, amekosolewa kwa muda mrefu kwa muonekano wake wakuto wekea umuhimu mavazi ya barakoa katika vita dhidi ya virusi vya Coronavirus. 

page 2 from 20