Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Jay "kuchujwa kwa Kenya kutoka Rugby 7s yakimataifa, ni pigo na ishara ya ukuaji wa mchezo huo"
23/05/2023 Duration: 08minTaarifa ya timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba ya Kenya, kushushwa daraja imepokewa kwa huzuni kubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mchezo huo.
-
Taarifa ya Habari 21 2023
21/05/2023 Duration: 18minUpinzani wa shirikisho waukosoa mpango wa Waziri Mkuu, kufanya ziara China kabla ya vikwazo vyote vya kibiashara kuondolewa dhidi ya Australia.
-
Mahasimu Sudan wakubali kusitisha vita kwa siku 7
21/05/2023 Duration: 06minPande hasimu nchini Sudan, zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku saba kuanzia Jumatatu.
-
Taarifa ya Habari 16 Mei 2023
16/05/2023 Duration: 18minWaziri Mkuu ametupilia mbali madai kuwa sera yamakazi ya serikali, ita andikwa tena katika kongamano lakitaifa la chama cha Labor.
-
Kiongozi wa upinzani adai mpango wa uhamiaji katika bajeti utaongeza mzozo wa makazi
16/05/2023 Duration: 10minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amekosoa bajeti ya serikali ya Labor ya 2023, akisema haifanyi chochote kusaidia Australia ya kati.
-
Je, ni nini athari ya bajeti ya 2023 kwa jumuiya za tamaduni nyingi
15/05/2023 Duration: 11minMara nyingi huwa tunazungumza kuhusu bajeti, kwa misingi ya washindi na wanao poteza.
-
Taarifa ya Habari 14 Mei 2023
14/05/2023 Duration: 19minPendekezo la upinzani wa shirikisho kuruhusu wanao pokea malipo ya ustawi kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi, kabla wapoteze malipo yao limekosolewa kama wazo lisilo na mashiko.
-
Labor yatoa bajeti yenye ziada na afueni kwa gharama ya maisha
14/05/2023 Duration: 09minKushusha gharama za maisha ya watu nchini Australia, ni lengo kuu la bajeti ya shirikisho ya 2023.
-
Jinsi ya kutatua mizozo na majirani wako nchini Australia
11/05/2023 Duration: 11minNyumbani ni sehemu ambako tuna hisi starehe zaidi.
-
Mercy "hatuhisi faida zakuwa sehemu ya jumuiya yamadola"
11/05/2023 Duration: 10minSherehe yakutawazwa kwa Mfalme Charles lll ilishuhudiwa na mamilioni yawatu kote duniani.
-
Tim "bajeti ya leo itasaidia familia nyingi kukabiliana na gharama ya maisha"
10/05/2023 Duration: 08minMa milioni yawa Australia kote nchini wanasubiri kwa hamu tangazo la bajeti, kujua kama wata pata afueni kwa gharama ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2023
09/05/2023 Duration: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema bajeti ya serikali yake inazidi makadirio yakiuchumi, kutoka serikali ya zamani ya mseto na itatoa afueni fanisi kwa gharama ya maisha kwa familia.
-
Tunaweza tarajia nini katika bajeti ya taifa ya 2023?
09/05/2023 Duration: 08minSerikali ya shirikisho ita toa bajeti ya 2023-24 hii leo Jumanne 9 Mei 2023.
-
Kutawazwa kwa Mfalme Charles III kwa pokewa kwa hisia mseto
08/05/2023 Duration: 12minWatu kote duniani wame shuhudia kutawazwa kwa Mfalme Charles III.
-
Taarifa ya Habari 7 Mei 2023
07/05/2023 Duration: 18minZaidi ya idadi ya nyumba milioni tano nchini pamoja na biashara ndogo milioni moja, zitapata afueni ya $500 kwa bili za nishati katika bajeti ya shirikisho ya Mei 9.
-
Muundo mpya wasema wadhibiti wanastahili fanya biashara ya umeme iwe rahisi kwa watumiaji
04/05/2023 Duration: 09minMuundo mpya wa data iliyopo, imetoa taswira ya siku zijazo ambako, kila paa ya nyumba itakuwa na kifaa cha solar, hatua ambayo itawaruhusu wa Australia kufanya biashara ya umeme nakupiga jeki bajeti za nyumba zao.
-
Taarifa ya Habari 2 Mei 2023
02/05/2023 Duration: 19minSerikali ya shirikisho imedokeza uwezekano wakuongeza kiwango cha malipo ya Jobseeker katika bajeti ya wiki ijayo kwa wanao ipokea ambao wana zaidi ya miaka 55.
-
Nini hutokea unapo ripoti kesi ya ubakaji kwa polisi nchini Australia?
01/05/2023 Duration: 13minNchini Australia, ukatili wakijinsia ni kosa la jinai, kama umelazimishwa, umetishwa, au umedanganywa kufanya tendo lakingono dhidi ya hiari yako, unaweza taka ripoti tendo hilo kwa polisi ili aliyefanya tendo hilo afunguliwe mashtaka. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa mgumu sana kisheria nakihisia. Hivi ndivyo unastahili tarajia.
-
Taarifa ya Habari 30 Aprili 2023
30/04/2023 Duration: 18minKutakuwa maboresho mhimu katika bajeti ya Mei, waziri wa fedha aeleza taifa.
-
Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi
26/04/2023 Duration: 09minMaelfu ya watu wame jumuika kote nchini Australia na ng’ambo kuadhimisha ANZAC Day.