Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 117:03:36
- More information
Informações:
Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 15 November 2022
15/11/2022 Duration: 19minIdhini yatolewa kwa matumizi ya chanjo mpya ya UVIKO-19, wakati idadi ya ongezeko ya kesi za virusi hivyo zinaendelea kushuhudiwa kote nchini.
-
Taarifa ya Habari 13 Novemba 2022
13/11/2022 Duration: 19minSerikali ya shirikisho kuendelea kuwinda nakuvuruga shughuli za wahalifu wa mtandaoni asema waziri usalama wa mtandaoni
-
Sofia na Anna:"tunashiriki katika mashindano ya soka kuboresha afya yetu"
11/11/2022 Duration: 08minWanawake na wasichana wanao ishi mjini Sydney, kwa muda mrefu walikuwa wakiomba kujumuishwa katika michuano ya kombe la Afrika.
-
Dominic"bidii ambayo wachezaji wetu wanaweka katika timu ya taifa na vilabu vyoa ni tofauti"
10/11/2022 Duration: 06minMataifa ya Afrika Mashariki na Kati, yamezalisha wachezaji wengi na wenye viwango vya juu sana, ila mafanikio ni haba katika nyanja zakimataifa kwa nchi hizo.
-
Kwa nini kujiunga na mchezo wa jumuia kunaweza kuwa jambo bora zaidi ulilowahi fanya
09/11/2022 Duration: 13minShughuli ya kimwili ya mara kwa mara ni muhimu kwa ustawi mzuri wakimwili na afya ya akili. Nchini Australia kuna fursa zakushiriki katika shughuli za michezo katika kila kiwango.
-
Akram:"Tuko hapa kushinda kombe"
09/11/2022 Duration: 03minVijana wanao wakilisha Jamhuri ya Congo katika kombe la Afrika la New South Wales, wame jipa fursa yakufuzu kwa robo fainali ya kombe hilo.
-
Taarifa ya habari 8 Novemba 2022
08/11/2022 Duration: 19minSerikali ya shirikisho imesisitiza ina nia yakutekeleza ahadi ilizotoa katika kampeni za uchaguzi mkuu, kupitia muswada wao wa mahusiano ya viwanda.
-
Jeshi la Kenya kuongoza vikosi vyawalinda amani DRC
07/11/2022 Duration: 08minKenya inaongoza kikosi cha jeshi la Afrika Mashariki kinacho chukua nafasi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa, ambavyo kwa sasa vinashika doria katika Jamhuri yakidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 6 Novemba 2022
06/11/2022 Duration: 20minSerikali ya shirikisho imekubali kukutana na vikundi vya biashara katikati, kwa baadhi ya sehemu tata za muswada wamahusiano ya viwanda.
-
Benin "Benchi la ufundi lita hakikisha tunarekebisha makosa tuliyofanya"
04/11/2022 Duration: 05minKombe la Afrika la jamii zinazo ishi mjini Sydney, Australia limefika katika mzunguko wa tatu.
-
Nchi za Afrika Mashariki na Kati zinakwama wapi, kufuzu kwa kombe la dunia?
03/11/2022 Duration: 13minNchi ya kwanza naya mwisho kufuzu kwa kombe la dunia la FIFA ilikuwa Zaire (Jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo).
-
Umuhimu wa Melbourne Cup ni nini?
02/11/2022 Duration: 13minMelbourne Cup ni moja ya shindano maarufu la farasi nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 1 Novemba 2022
01/11/2022 Duration: 19minSerikali ya shirikisho na Victoria zimetangaza takriban dola milioni 880 za msaada kwa biashara, wakulima pamoja na mashirika yasiyo yafaida, ambayo yame achwa katika hali ngumu kufuatia mafuriko mabaya ya Victoria.
-
Je! Umeridhika na bajeti ya Chalmers?
31/10/2022 Duration: 07minBajeti ya kwanza ya serikali ya Albanese imepokewa viziru na vikundi vingi.
-
Taarifa ya Habari 30 Oktoba 2022
30/10/2022 Duration: 19minWaziri wa nishati Chris Bowen ametetea sera za nishati za serikali. Bajeti ya shirikisho ya wiki hii inatabiri kupanda kwa bei ya rejareja ya umeme, ya 56% kwa miaka mbili ijayo, wakati bei ya rejareja ya gesi itaongezeka kwa 40% katika wakati kama huo.
-
Dor Jok: "Vijana wengi hapa wanaweza cheza katika A-League wakipewa fursa"
29/10/2022 Duration: 04minLengo la vijana wengi wanao cheza mpira wa miguu nchini Australia, nikuwa wachezaji wakulipwa na hata kushiriki katika michuano yakimataifa.
-
Faida na hatari zaku nunulia bidhaa mtandaoni
26/10/2022 Duration: 10minHatakama kuemelea mtandaoni huwapa watumiaji faida kama, urahisi na punguzo, ila hatua hiyo pia huja na hatari nyingi.
-
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2022
25/10/2022 Duration: 19minMweka Hazina wa taifa Jim Chalmers ame ahidi kutoa bajeti itakayo lenga kutoa afueni kwa gharama ya maisha, kupiga jeki uchumi pamoja nakuwa rafiki kwa familia.
-
Macho yote yaelekezwa Canberra kwa bajeti ya Shirikisho
25/10/2022 Duration: 07minWakati chama cha Labor kina jiandaa kutangaza bajeti yake ya kwanza baada ya takriban muongo, Mweka Hazina wa shirikisho Jim Chalmers anatoa utabiri mpya wakiuchumi.
-
Taarifa ya Habari 23 Oktoba 2022
23/10/2022 Duration: 19minWaziri Mkuu amesema bajeti ya shirikisho itakayo tolewa Jumanne, itakuwa na hatua za usimamizi wa dharura pamoja na maandalizi ya maafa wakati dharura ya mafuriko inaendelea katika sehemu kubwa ya pwani ya mashariki ya taifa kwa wiki ya pili.